Idhini ya Mpangilio wa Ujenzi
Buy to Consult fire Authority before passing plans
Buy to Consult fire Authority before passing plans
Ambapo inapendekezwa kujenga jengo, au kufanya mabadiliko yoyote ya muundo wa jengo au kubadili matumizi ya awali jengo au sehemu ya jengo. Mapendekezo na mipango hiyo ni kwa mujibu wa kanuni za ujenzi, zilizowekwa na Mamlaka ya Serikali za Mitaa lazima ishauriane na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kabla ya kupitisha mipango hiyo. Kanuni ya Ukaguzi wa Majengo ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ya mwaka 2015 Ibara ya 248(1) na (2).
Mtu yeyote ambaye atashindwa kufuata vifungu vya kanuni hizi atenda kosa na atakayeshtakiwa atatozwa faini isiyozidi shilingi milioni tatu au kufungwa gerezani kwa muda usiozidi mwaka mmoja au zote. Kanuni ya Ukaguzi wa Majengo ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ya mwaka 2015 Ibara ya 249
Ni jukumu la Mmiliki, Msanifu majengo na Mhadishi wa jengo, kuhakikisha kuwa
Materials used in the construction of building elements shall comply with the Regulations stated under these Regulations to the performance of the requirements such as for fire resistance and limit to spread of flame as stipulated in other relevant provisions of these Regulations
I am text block. Click edit button to change this text. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Ut elit tellus, luctus nec ullamcorper mattis, pulvinar dapibus leo.
I am text block. Click edit button to change this text. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Ut elit tellus, luctus nec ullamcorper mattis, pulvinar dapibus leo.