Tarehe: 23/02/2023
Kamishna wa Utawala na Fedha wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Mbaraka Semwanza, akiwa na Uongozi
wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC)
Tarehe: Agosti, 2022
Askari wapya wakipita mbele ya Mgeni Rasmi kwa mwendo wa haraka
Tarehe: Agosti, 2022
Askari wapya wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wakipokea kiapo cha utii
Tarehe: 2022
Muonekano mpya wa Jengo la Jeshi la Zimamoto
na Uokoaji Makao Makuu Dodoma
Tarehe: 2022
Muonekano mpya wa Jengo la Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Jijini Dodoma
Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
wakitimiza moja ya jukumu la kuzima moto
katika kiwanda cha pamba
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wakifanya
maonyesho katika uwanja wa Tanganyika Parkers
Jijini Dar es salaam katika siku ya Zimamoto
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji likifanya moja ya jaribio
la kuzima moto siku ya Zimamoto Tanzania katika viwanja
vya Tanganyika Parker Jijini Da es salaam